Monday, May 21, 2012

WANACHAMA WA YANGA WAMCHOMOA MWENYEKITI WAO..


Mwenyekiti wa Kamati ya Wazee wa Klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali akitangaza kumfuta Uenyekiti wa timu hiyo, Lyod Nchunga, baada ya kutimiza kolamu  ya wanachama mia tano na hamsini na sita na wajumbe nane kujiuzuru rasmi leo
wakati wa mkutano wa wanachamauliofanyika kwenye klabu hiyo, Mtaa wa Jangwani naTwiga jijini Dar es Salaam.

Wanachama wa Yanga wakishangilia tamko la kumg'oa Mwenyekiti wa Klabu hiyo Lyod Nchunga
 Mashabiki wa Yanga ambao si wanachama, wakifuatilia mkutano wakiwa mbali
 Mmoja wa wanachama wa Yanga, anayeitwa Nyachia akionyesha kadi yake wakati wa kujisajili kuingia kwenye mkutano huo. Picha zote na Nkoromo Daily Blog: Fuatilia katika Blogu hii baadaye tunapandisha Video ya sehemu ya mkutano huo.
Tofauti na vikao vingine vya Yanga ambavyo hufanyika katika ukumbi wa  jengo la Klabu hiyo, mkutano huu wa leo unafanyika kwenye Uwanja nje ya jengo

No comments:

Post a Comment