Uamuzi
wa Mchezaji huyu wa Simba kwenda kuzikwa Congo DRC umetoka kwa familia
yake, ambapo atasafirishwa kesho jumamosi na kuzikwa nyumbani kwao siku
ya Jumapili.
.
.
Waziri wa habari Utamaduni na Michezo Dr Fennela Mukangara wa pili kutoka kushoto akiwasili.
.
.
.
.
Kipa wa Simba Juma Kaseja.
.
Kocha wa Simba Milovan.
Mmmoja wa mashabiki walioshindwa kujizuia baada ya kuona jeneza. (Picha zote zimepigwa na Bin Zubery wa bongostaz.blogspot.com )
Hili ndio gari alilopata nalo ajali Mchezaji wa Simba Patrick Mafisango
No comments:
Post a Comment