kuwa wa kwanza kujua yaliyojiri ndani na nj'e ya bongo.......
Wednesday, August 7, 2013
Picha za mwili wa mfanyabiashara maarufu alieuwawa Arusha
Mfanyabiashara maarufu huko Arusha anayejulikana kwa jina la Erasto Msuya ameuawawa karibu na maeneo ya KIA. Erasto ni mfanyabiashara maarufu wa Tanzanite nammilikiwa SG resorts Arusha
No comments:
Post a Comment