Jay Z in the building Uingereza wakati
wa maandalizi ya movie ya MEN IN BLACK III London Jumatano. Mkali wa
movie hiyo Will Smith alikutana na marafiki na wafanya biashara wenzake
kama Jay z ambae alikuwa London kwa ajili ya Tour ya “Watch the throne” .
Nicole Scherzinger mshiriki
mwenzake co-star katika movie hiyo ya MEN IN BLACK III, Aliwasili akiwa
na Boyfriend wake Lewis Hamilton. Mkali huyo wa zamani kutoka Pussycat
Doll anafanya movie yake ya kwanza ya science fiction amabyo itaonyeshwa
katika Theaters tarehe 25 mwezi huu wa Mei
No comments:
Post a Comment