b'up 2 date
kuwa wa kwanza kujua yaliyojiri ndani na nj'e ya bongo.......
Monday, May 14, 2012
WABONGO WAAGA BIG BROTHER AFRICA..
WALIOTOLEWA BIG BROTHER AFRICA MAY 13 2012
Washiriki wote wa Tanzania Hilda na Julio wametolewa.
Julio na mshiriki wa Zimbabwe ambae ametolewa leo.
Mshiriki wa Zimbabwe aliebaki na kuhamishiwa V.I.P, washiriki ambao wako kwenye hatari ya kutoka wiki ijayo ni Liberia na Sierra leone
.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment