RAIS
JAKAYA KIKWETE amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya nchini kwa kuwateua wapya
70, kuwabakiza kazini 63, kuwastaafisha 51, na kuwabadilisha vituo vya kazi
baadhi yao.
Akitangaza
uteuzi huo mbele ya Wahariri wa vyombo vya habari, Waziri Mkuu Mizengo Pinda
alisema kutokana na mabadiliko hayo, Wakuu wa wilaya 51 kati ya 114 waliokuwepo
zamani wameachwa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ki-afya na umri
mkubwa.
“Zamani
tulikuwa na wilaya 114 na baada ya Mhe. Raisi Kikwete kuridhia kuanzishwa kwa
wilaya mpya 19, hivi sasa zimefikia wilaya 133. Kwa hiyo, tumebakiza Wakuu wa Wilaya
63 na ukiongeza hawa wapya 70 unapata jumla yao ni 133,” alisema Waziri Mkuu
.
.
Waziri
Mkuu alisema miongoni mwa wakuu hao wapya wa wilaya, wengi wao ni vijana wenye
umri kati ya miaka 30 hadi 45 na kwamba idadi yao inafikia 40. Alisema
vilevile, idadi ya wakuu wa wilaya wanawake ni 43 sawa na asilimia 32.3.
Alisema
wakuu wa wilaya watano kati ya 70 wapya walioteuliwa, wametokana na wabunge wa
viti maalum. “Lengo letu ni kutaka kuandaa viongozi wapya wa baadaye kutokana na
kundi hili,” alisema.
Alisema
Wakuu hao wapya wanatakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi ili waapishwe na
Wakuu wa Mikoa husika na kisha watatakiwa kuhudhuria mafunzo maalum ambayo
yatafanyika Dodoma. “Tumeandaa mafunzo hayo maalumu kwa ajili ya Wakuu wa Mikoa,
Wakuu wa Wilaya na Makatibu Tawala wa Mikoa… siyo semina bali ni mafunzo na
itabidi wapewe mitihani,” alifafanua.
Orodha
kamili ya wakuu wa wilaya wapya na vituo vya kazi ni kama ifuatavyo:
NA.
|
JINA
|
KITUO CHA KAZI
|
1.
|
Novatus
Makunga
|
Hai
|
2.
|
Mboni M. Mgaza
|
Mkinga
|
3.
|
Hanifa M. Selungu
|
Sikonge
|
4.
|
Christine S. Mndeme
|
Hanang
|
5.
|
Shaibu I. Ndemanga
|
Mwanga
|
6.
|
Chrispin
T. Meela
|
Rungwe
|
7.
|
Dr. Nasoro Ali Hamidi
|
Lindi
|
8.
|
Farida S. Mgomi
|
Masasi
|
9.
|
Jeremba
D. Munasa
|
Arumeru
|
10.
|
Majid
Hemed Mwanga
|
Lushoto
|
11
|
Mrisho
Gambo
|
Korogwe
|
12.
|
Elias
C. J. Tarimo
|
Kilosa
|
13.
|
Alfred
E. Msovella
|
Kiteto
|
14.
|
Dkt.
Leticia M. Warioba
|
Iringa
|
15.
|
Dkt.
Michael Yunia Kadeghe
|
Mbozi
|
16.
|
Mrs.
Karen Yunus
|
Sengerema
|
17.
|
Hassan
E. Masala
|
Kilombero
|
18.
|
Bituni
A. Msangi
|
Nzega
|
19.
|
Ephraem
Mfingi Mmbaga
|
Liwale
|
20.
|
Antony
J. Mtaka
|
Mvomero
|
21.
|
Herman
Clement Kapufi
|
Same
|
22.
|
Magareth
Esther Malenga
|
Kyela
|
23.
|
Chande
Bakari Nalicho
|
Tunduru
|
24.
|
Fatuma
H. Toufiq
|
Manyoni
|
25.
|
Seleman
Liwowa
|
Kilindi
|
26.
|
Josephine
R. Matiro
|
Makete
|
27.
|
Gerald
J. Guninita
|
Kilolo
|
28.
|
Senyi
S. Ngaga
|
Mbinga
|
29.
|
Mary
Tesha
|
Ukerewe
|
30.
|
Rodrick
Mpogolo
|
Chato
|
31.
|
Christopher
Magala
|
Newala
|
32.
|
Paza
T. Mwamlima
|
Mpanda
|
33.
|
Richard
Mbeho
|
Biharamulo
|
34.
|
Jacqueline
Liana
|
Magu
|
35.
|
Joshua
Mirumbe
|
Bunda
|
36.
|
Constantine
J. Kanyasu
|
Ngara
|
37.
|
Yahya
E. Nawanda
|
No comments:
Post a Comment