Kama ulisikiliza hekaheka za leo katika leo tena!!
Hii
imetokea hapahapa Dar es salaam jana asubuhi njemba imekutwa
ikimuingilia bata mzinga mpaka akafa.Alimtoa bata kwenye banda na
kuingia nae chumbani kwake na kumfanya hicho alichomfanya.
Hapa hali ilikuwa imeshatulia shwari mida ya saa saba ila asubuhi mitaa hii ilikuwa imefunga watu wamejaa kushangaa tukio hilo.
Bata
huyo ni wa famili yake na jamaa aliweza kupiga bao zake tatu
duuuuh.Alipokutwa hakukataa alielezea kila kitu kuwa alikuwa
kazidiwa.Wananchi walimbeba mzobemzobe na kumpeleka kituo cha polisi
sasa hapo siji mshitaki atakuwa nani??!!
Wananchi hawamtaki mtaani kwao asije akawabakia watoto buree.




No comments:
Post a Comment