Msanii wa HIP HOP hapa nchini,Rashid jumanne 'CHID BENZ'ameeleza sababu
za kutoboa pua yake kuwa ni kuonyesha hisia za maumivu aliyoyapata
miaka iliyopita.
Chid benz alibainisha hayo juz alipokua akihojiwa na ki2o cha runinga cha STAR cha jijini mwanza.
Alisema kwa muda amekua akiumizwa katka nyanja za mapenz,maisha na mengneyo,hvyo aliona bora atoboe pua ili apate maumivu,ambayo kwake itabakia kuwa kumbukumbu.
Chidi ameweka wazi hilo,baada ya wapenz na mashabiki wa muziki,kuhoji kuhusu mtindo huo mpya wa msanii huyo.
Msanii huyo ambae ni kiongoz wa kundi la 'LA FAMILIA'lenye maskani yake Ilala jijini dar es salaam,amewehi kutamba na nyimbo mbalimbali ikiwamo 'speed' 'dar es salaam' 'umenishika' 'wewe ndo chaguo langu' 'hasira za nini' na nyingne alioimba na Ali kiba 'mashalaah' alioshirikiana na mzee Yusuph
newz source G5click

No comments:
Post a Comment