Barbz kutoka South Afrika (Model na mfanyabiashara)
Mwimbaji Lady May kutoka Namibia.
Mampi kutoka Zambia (Mwimbaji)
CMB PREZZO kutoka Kenya. (Msanii)
Goldie kutoka NIGERIA (Mwimbaji)
DKB kutoka Ghana (Mchekeshaji wa Stand up Comedy)
Roki kutoka Zimbabwe (Mwanamuziki)
Breaking kews kutoka
Multichoice ni kwamba jumba la Big Brother ambalo linaanza kazi jumapili
inayokuja litakua na mastaa saba wa nchi mbalimbali za Afrika ambao
wataingia jumapili na kushiriki kama kawaida, yani sio kwa kipindi
kifupi… wao pia ni sehemu ya washiriki wa shindano hilo linaloshirikisha
nchi 14 za Afrika.
Tanzania haijawekwa kwenye list
ya hao mastaa saba na hakuna taarifa za ziada kuhusu hilo lakini kuna
uwezekano BBA wakafanya surprise.
No comments:
Post a Comment