Friday, May 4, 2012

MMG YAMTAMBULISHA OMARION KAMA MEMBER MPYA

.
.
Omarion baada ya kutangazwa kujiunga na Maybach Maybach empire.
Rick Ross akiwa na washkaji zake Swizz Beatz na P diddy ambao walizungumzia pia maendeleo ya MMG ya Rick Ross
Pamoja na kufanya utambulisho huo MMG imetangaza tarehe ya midundo mipya ambapo MMG – Self Made Vol. 2 (June 26th) , French Montana – Excuse My French (July 17th) , Rick Ross – God Forgives I Don’t (July 31st) Meek Mill – Dreams & Nightmares (August 28th) na Wale – TBA (January 2013

No comments:

Post a Comment