Wednesday, August 7, 2013

Picha za mwili wa mfanyabiashara maarufu alieuwawa Arusha



6b199295ec1c368d049645dd6887f108
Mfanyabiashara maarufu huko Arusha anayejulikana kwa jina la Erasto Msuya ameuawawa karibu na maeneo ya KIA. Erasto ni mfanyabiashara maarufu wa Tanzanite na mmilikiwa SG resorts Arusha
180ec2ecea7f7651fe60c39cf4bcab71

1b75d4647107ec5a13e4529d7f0151f9

MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM APIGWA RISASI NA KUFARIKI LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM

Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa kupigwa na risasi.

Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa
wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea.

Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.

Source: Matukio-Wapo radio

Wednesday, May 8, 2013

BAADA YA SIR ALEX FERGASON KUTANGAZA KUSTAAFU SOMA TWEETS ZA WATU MAARUFU DUNIANI WALIVYOPOKEA.

ANGALIA PICHA ZA LWAKATARE AKIWA MAHAKANINI LEO AMBAPO KAFUTIWA MASHITAKA YA UGAIDI .

 Lwakatare akimkumbatia kwa furaha wakili wake, Peter Kibatara, baada ya kufutiwa mashitaka ya ugaidi.
 Askari wakimuamuru Lwakatare kuondoka kizimbani kwa ajili ya safari ya gerezani.

SIR ALEX FERGUSON KUSTAAFU KAMA MANAGER WA MANCHESTER UNITED.


Taarifa rasmi zinasema Kocha wa timu ya Manchester United Sir Alex Fergason Ameamua kustafu Mwisho wa Msimu,Tayari bodi ya timu hiyo imepokea taarifa toka kwa kocha huyo tayari kwa majadiliano ya kumtafuta mrithi wa kocha huyo aliyewapa mafanikio makubwa timu ya Manchester united kwa kipindi cha muda mrefu aliyokaa katika timu hiyo..
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 71 ataondoka mwisho wa msimu huu na mechi yake ya mwisho ataiongoza Manchester United Dhidi ya West Bromwich Albion tarehe 19 mei .
Akiwa kocha wa Manchester united Sir Alex Fergason Ameipa timu hiyo jumla ya makombe 38 toka ameanza kuifundisha timu hiyo mwaka 1986