Taarifa
rasmi zinasema Kocha wa timu ya Manchester United Sir Alex Fergason
Ameamua kustafu Mwisho wa Msimu,Tayari bodi ya timu hiyo imepokea
taarifa toka kwa kocha huyo tayari kwa majadiliano ya kumtafuta mrithi
wa kocha huyo aliyewapa mafanikio makubwa timu ya Manchester united kwa
kipindi cha muda mrefu aliyokaa katika timu hiyo..
Kocha
huyo mwenye umri wa miaka 71 ataondoka mwisho wa msimu huu na mechi yake
ya mwisho ataiongoza Manchester United Dhidi ya West Bromwich Albion
tarehe 19 mei .
Akiwa
kocha wa Manchester united Sir Alex Fergason Ameipa timu hiyo jumla ya
makombe 38 toka ameanza kuifundisha timu hiyo mwaka 1986
|
No comments:
Post a Comment