Wednesday, August 7, 2013

MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM APIGWA RISASI NA KUFARIKI LEO JIONI JIJINI DAR ES SALAAM

Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa kupigwa na risasi.

Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa
wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea.

Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.

Source: Matukio-Wapo radio

No comments:

Post a Comment