Hivi
ndiyo Ja rule alivyotimba uraiani ambapo amekaribishwa poa na mke wake,
Aisha Murray ambaye ndiye aliyemchukua mara tu baada ya kuachiwa na
sasa atalazimika kumalizia adhabu yake kwa kifungo cha nyumbani mpaka
Julai 28.
Awali
rapa huyu alipanga kuwa siku atakayoachiwa ataingia moja kwa moja
katika tour ya dunia kwa ajili ya kuwafikishia mashabiki ujumbe kuwa
amerudi kwa kasi, lakini mpango huu haukuwa kama ulivyopangwa.
Msanii
huyu alitiwa kifungoni kwa makosa mawili #Kukwepa kulipa kodi na
#Kukamatwa akiwa anamiliki .silaha (bastola) kinyume cha sheria
|
No comments:
Post a Comment