Thursday, April 18, 2013

SAFARI YA MWISHO YA BI.KIDUDE PUMZIKA KWA AMANI


.
Bi.KIDUDE ENZI ZA UHAI WAKE

 
Jeneza la bibi likielekea msikiti kwa ajili ya kusaliwa
Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwa marehemu bi Kidude, Zanzibar 
Msanii Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na Hassan Bond Mussa (FID Q ndo alikuwa msanii wa kwanza mkubwa kufika msibani kwa bibi)
Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi Kidude 
Guru G na Mh Bhaa mazikoni 
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya Marehemu Bi Kidude
Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani
Photo: Hapa ndipo alipozikwa Bibi Kidude zaidi ya dakika 50 zilizopita, ilinyesha mvua kwa muda mrefu ndio maana kuna Hali hii... Niko Zanzibar na Amplifaya ya leo itaruka kutoka hapa Znz mtu wangu
Hapa ndipo alipozikwa Bibi Kidude , ilinyesha mvua kwa muda mrefu ndio maana kuna Hali hii.

No comments:

Post a Comment