Tuesday, April 23, 2013

HUYU NDIO GIRLFRIEND MPYA WA ARNOLD SCHWARZNEGGER, KAZIDIWA MIAKA 35 NA ARNOLD !!

Huyu ndio Heather Milligan, girlfriend mpya wa Arnold Schwarznegger (65) ambaye ana umri wa miaka 38, na hii ni baada ya ndoa yake na Maria Shriver kubounce kutokana na vitendo vya kukosa uaminifu vya gavana huyu mstaafu wa jimbo la Carlifonia.... KWA HABARI ZAIDI GONGA :HAPA                                     
Together no more: Arnold with his wife Maria back in 2005 at the Golden Globes in Beverly Hills
Hapa akiwa na mke wake wa zamani Maria Shriver

Moving on? It seems the Junior favourite may finally be moving on from his relationship with his wife

No comments:

Post a Comment