Huu mji ulianzishwa na wahamiaji toka jamhuri ya czech na mtu pekee anayekaa kwenye mji huu ni mama mwenye umri wa miaka 72 Elsie Eiler. |
Kila kitu ni yeye mazee |
Watu wengine inabidi waende kutalii hapo na kujionea manake sio kitu cha kawaida. |
Waandishi wa habari pia kwao ni stori kubwa |
HABARI ZAIDI:HAPA |
No comments:
Post a Comment