Wednesday, April 24, 2013

CHUO CHA UASIBU ARUSHA (IAA) CHA FUNGWA KWA MDA USIOJULIKANA KUTOKANA NA VURUGU ZILIZOIBUKA MAPEMA MCHANA WA LEO

HII NI BARUA ILIYO WATAKA WANAFUNZI WAONDOKE MAENEO YA CHUO
Askari wa kutuliza ghasia wakilinda usalama
Mmoja wa wanafunzi aliyeumia katika vurugu hizo
Chuo cha Uhasibu Arusha kimefungwa kwa muda usiojulikana.
Wanafunzi walitakiwa kuondoka chuoni hapo na ifikapo sa 12 jioni wasionekane.
Imetolewa na Uongozi wa Chuo.
Picha na:Blasius kutoka IAA ARUSHA..

No comments:

Post a Comment