MWEZI WA NOVEMBER TU WAMEFARIKI WASANII WANNE 2012 KUNA NINI HAPA
MARIUM HAMIS -TAARABU,MLOPELO NA JOHN STEPHANO - BONGO MOVIE
NA SASA SHARO MILLIONEA KIFO AMBACHO HATUKUKOTARAJIA HIVO KWA MUDA HUU AMBAO NDO KWANZA SUCCESS IMEANZA
SHARO MILLIONEA AMEFARIKI KWA AJALI YA GARI AINA YA HARRIER AKITOKEA DAR KUELEKEA TANGA KATIKA MJI WA MUHEZA - TANGA
GARI YA SHARO MILLIONEA ALILOPATA NALO AJALI LIKIWA LIMEHARIBIKA |
NA HII NDO CHART YAKE YA MWISHO YA SHAROOO... |
No comments:
Post a Comment