Monday, October 15, 2012

PICHA:VURUKU ZILIZOTOKEA UWANJANI KWENYE MECHI KATI YA SENEGAL NA IVORY COST

Wachezaji mbalimbali akiwemo Yaya Toure wakilindwa na kuondolewa uwanjani baada ya mashabiki wa Senegal kuvamia uwanja kwa kukasirishwa na maamuzi ya refa kuwapa penati Ivory Coast ambapo Didier Drogba alifunga goli la pili.

Adi Mpaka mpira unavunjwa Ivory Coast walikua wameifunga mbili bila Senegal
.
.
.
.
.
.
Mashabiki wakisaidiwa kushuka kuingia uwanjani baada ya fujo kuzidi kwenye ngazi za juu za uwanja.

Mashabiki wakiwa wamekusanywa katikati ya uwanja kukwepa vurugu
.
.
.


No comments:

Post a Comment