Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete
ameenda Mbagala na kutembelea makanisa yaliyoharibiwa na kundi la watu
wanaodaiwa kuwa Wailamu, kwenye vurugu zilizosababushwa na habari za
mtoto mmoja huko Mbagala Kizuiani kukojolea Msaafu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu uliofanyika katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu zilizofanywa na watu wadaodaiwa kuwa Waislamu, kufuatia habari za mtoto kukojolea msaafu |
Mchungaji Alkwin Mbawi akimuonyesha rais Kikwete gari la kanisa la Pentekoste lililovunjwa na kuchomwa moto Mbagala kufuatia vurugu hizo |
Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam M Mkosimonga, akimuonyesha rais Kikete uharibifu uliofanywakwenye kanisa hilo |
Uharibifu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri |
Rais Kikwete akionyeshwa uharibifu katika Kanisa la Anglikana |
No comments:
Post a Comment