kuwa wa kwanza kujua yaliyojiri ndani na nj'e ya bongo.......
Thursday, September 13, 2012
DUUUHH HII KALI:NG'OMBE MLA MAZAO AWEKWA JUU YA PAA LA MWENYE NG'OMBE.
Hatimaye yule Ngo'ombe mwenye tabia ya kula mazao ya Wakulima
ameshikishwa adabu huko Sumbawanga baada ya waliopoteza mazao yao kuamua
kumshughulikia kwa kumweka ng'ombe huyo juu ya paa la mwenye
ng'ombe....
No comments:
Post a Comment