Wednesday, August 22, 2012

MABOMU YA MACHOZI NA RISASI ZA RINDIMA KARIAKOO LEO KUHUSU UVUNJWAJI WA NYUMBA



Vijana wakirusha mawe.


Hali ikiwa tete eneo hilo.

Watu wakikimbia ovyo kusalimisha roho zao.…
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) akifyatua bomu la machozi.
Vijana wakirusha mawe.
Hali ikiwa tete eneo hilo.
Watu wakikimbia ovyo kusalimisha roho zao.
Askari kanzu wakilinda usalama eneo la tukio.
.Umati wa watu na wafanyabishara walioshindwa kufanya biashara zao wakiangalia hali ya mambo
Soko kuu la Kariakoo likiwa limefungwa kufuatia machafuko hayo.
MAENEO ya Kariakoo jijini Dar es Salaam leo yalikuwa hayakaliki kufuatia vijana waliokuwa wakipambana na polisi wakipinga uvunjwaji wa nyumba iliyokuwa ikimilikiwa  na swahiba wao aliyetajwa kwa jina la Shaban Hassan. Nyumba hiyo imekabidhiwa kwa  Samir Sadiq baada ya kushinda kesi Mahakama ya Ilala jijini.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)    

No comments:

Post a Comment