Mwimbaji wa R’n'B Frank Ocean wa Marekani baada
ya kuandika barua na kukiri hadharani kwamba anashiriki mapenzi ya
jinsia moja (Shoga) na hata kwenye album yake mpya kuna nyimbo za
mapenzi kamuimbia mwanaume mwenzake, sasa leo nimefanikiwa kupata Video
mpya ya Rapper Mmarekani mweusi ambae amekua rapper wa kwanza kutangaza kuwa ni shoga
No comments:
Post a Comment