Wachezaji wa Azam FC wakishangilia ushindi.
TIMU ya Azam FC leo imetinga Fainali ya Michuano ya Kombe la Kagame
baada ya kuifunga timu ya Vita bao 2-1, katika mechi ya nusu fainali
iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam
yamewekwa kimiani na John Bocco na Mrisho Ngassa.
Mpira nyavuni- Bocco
John Bocco akishangilia bao lake
Ngassa akishangilia bao lake la mashabiki wa Yanga
No comments:
Post a Comment