Tuesday, July 24, 2012

RAISI WA ZANZIBAR DKT SHEIN AMUAPISHA WAZIRI MPYA WA MIUNDOMBINU


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Rashid Seif Suleiman, kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano, wakati wa  hafla fupi iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar Leo.Picha na Ramadhan Otrhman,Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Sheikh Daudi Khamis Salim,  kuwa Kadhi wa Rufaa Pemba, wakati wa hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Waziri Mpya wa Miundombinu,Rashid Seif Suleiman, katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Leo.

No comments:

Post a Comment