Sunday, July 15, 2012

MBUNGE WA KWANZA KUFUNGA NDOA YA JINSIA MOJA HUKO MAREKANI

 Photo: Barney Frank awa mbunge wa kwanza kufunga ndoa ya jinsia moja Massachusetts-Marekani

Pichani ni mbunge wa Massachusetts Barney Frank (kulia) na mke wake Jim Ready 

Marafiki wa Tajoa nini mawazo yetu juu ya hili?

Tutafakari


Source:wavuti.com

 Pichani :BOSTON - Democratic Rep. Barney Frank (kulia) na mke wake Jim Ready siku ya harusi yao.Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa marekani kuwa Jim Ready ni mpenzi wake wa muda mrefu.



No comments:

Post a Comment