Thursday, July 26, 2012

JOSE CHAMELEONE AANDAMANA HADI UBALOZI WA TZ UGANDA AKITAKA PASSPORT YAKE IRUDI

Hapa ni kwenye ubalozi wa Tanzania Uganda, Chameleone alipoenda na washabiki wake kudai passport iliyochukuliwa na Big Boss Erick Shigongo kwa madai mpaka arudishiwe dola zake 3500

.



No comments:

Post a Comment