Leo
asubuhi maeneo ya chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha Elimu DUCE mkabala na
Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Mgulani katika barabara ya Chang'ombe Camera
yetu imenasa tukio la kibaka huyu ambaye amekutwa akiwa ameuwawa huku
tairi likiwa linawake pembeni. inasadikiwa alikutwa katika nyumba za jirani na
eneo hilo akitaka kuiba hivyo wananchi wenye hasira kali wakamkamata na kumpiga
na kuchoma tairi ili kumuunguza, hata hivyo haijulikani nani alimuokoa asiungue
na tairi hilo japokuwa amepoteza maisha
Wanafunzi wakiushangaa mwili wa
kibaka huyo aliyepigwa na wananchi wenye hasira na kuuwawa wakati akitaka kuiba
katika moja ya nyumba kwenye eneo hilo.
No comments:
Post a Comment