Tuesday, April 10, 2012

MATUKIO YA PICHA WAKATI WA KUUAGA MWILI WA KANUMBA VIWANJA VYA LEADERS MAPEMA LEO....

 Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili kwenye viwanja vya Leaders Club asubuhi hii.
.
 Viongozi mbali mbali wapo kwenye shughuli hii ya kumuaga marehemu Steveen Kanumba.
 Mdogo wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapo.
 Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapa.
 msafara wa Makamu wa Rais.
 Mdau Athuman Khamis pia amehudhulia shughuli hii.
 Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.
Viongozi wakuu wa Serikali.
 watu wengi wamehudhulia shughuli hii.
 Mwili wa Marehemu ukiwasili uwanjani hapa.
 ukipelekwa sehemu maalum iliyoangaliwa.

Mh.Joseph Mbilinyi(Sugu)akitoa heshima za mwisho

No comments:

Post a Comment