Tuesday, March 27, 2012

Game alinganisha beef yake na 50 cent.

Katika video ya “ Hate it Or Love it” inayoonyesha beef
 ( Behind the Music) kati ya Game na
 50 cent.
Beef hiyo ya mwaka 2005 ambayo ilipelekea GAME
kutoka G-UNIT na kupelekea vitisho vya bunduki nje
ya studio za HOT 97 ambapo madhara makubwa yangeweza
 kutokea.

Akielezea beef hiyo baada ya miaka saba (7) iliyopita Game
alisema beef hiyo ilifikia stage mbaya sana baada
 ya video ya single ya “ Hate it or love it”

Ilikua hawawezi hata kukaa sehemu moja, Baada ya hiyo clip tu
50 cent akatangaza kumuondoa Game G-UNIT.

Anasema GAME “ Nimemind sana” “ Narudi L.A,Umeharibu uhusiano?
Uko serious? Nilitaka nimuue kweli, na kulikua na uwezekano wa mimi
kufa pia, Nilihisi beef yetu ilikua ni kama ya B.I.G na TUPAC na ingeleta
madhara yale yale ya vifo”

November 2010 GAME alitangaza kumaliza beef hiyo na 50 cent,
Dr Dre, Eminem na mwenyekiti wa Interscope Jimmy Iovine.

No comments:

Post a Comment