Majambazi
yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi muda mchache uliopita
na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa 5:16 jioni
inavyosemekana mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawi la Uhuru
ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu
wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo
aliposimama
ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na
kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa. Mpaka
tunaingia mitamboni hakuna habari yoyote ya kukamatwa kwa wahalifu hao.
CREDIT:http://williammalecela.blogspot.com/ |
Sunday, May 5, 2013
BREAKING NEWZZZZZ : MAJAMBAZI YAPORA NA KUUA DAR!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment