Tuesday, April 23, 2013

JAY Z NA KANYE WEST WAMEONEKANA HADHARANI KWA MARA YA KWANZA TOKA KANYE ADISS ''SUIT & TIE''

.
Baada ya Kanye West kuidiss “Suit & Tie’ ya Justine Timberlake na Jay Z mwanzoni mwa mwaka huu kitu ambacho kilimfanya Timberlake nae kumjibu, mengi yalizungumzwa ikiwemo kutokuwepo kwa uhusiano mzuri kati ya J na Kanye lakini kumbe sio, wameonekana pamoja tena wakiwa na furaha muda mfupi baada ya Kanye West kuonekana akifanya shopping ya mama mtoto wake Kim K.


.
.
.
PICHA NA:www.necolebitchie.com
.

No comments:

Post a Comment