Friday, September 7, 2012

MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM


Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam.
Katibu mkuu wizara ya ulinzi akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Mkuu wa Majeshi nchini,Jenerali Davis Mwamunyange akifariji mke wa mmoja wa askari waliofariki huko nchini Sudan,Bi. Fatuma Chunguile.
Askari wa JWTZ wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi
Mkuu wa Majeshi nchini,Jenerali Davis Mwamunyange akizungumza na vyombo vya habari

No comments:

Post a Comment