Thursday, August 9, 2012

ACHOMWA MOTO KWA KUIBA KOKI YA MAJI





Marehemu Hassan Stanley .

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hassan Stanley asubuhi ya kuamkia leo majira ya saa kumi na moja  katika maeneo ya uwanja wa mbuzi Kiloleli jijini Mwanza, ameuawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa na kuchomwa moto hadi kupelekea mauti yake.



Umati uliokuwa kwenye tukio.


Wananchi wa maeneo hayo wakiangali huku wakijiuliza maswali ya kwanini matukio ya kujichukulia sheria mikononi bado wanaendekezwa na Wananchi.

Koki aliyokutwa nayo marehemu Hassan Stanley.

No comments:

Post a Comment