Saturday, July 28, 2012

YANGA SC BINGWA KAGAME CUP,YAICHAPA AZAM FC 2-0

Kosi la AZAM
Kosi la YANGA

Mashabiki wa timu ya Yanga wakishangilia mara baada ya timu yao kupata goli la kuongoza katika mchezo huo.

Timu zikiingia uwanjani kuanza mpambano huo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akielekea kukagua timu kabla ya mchezo huo kuanza kulia ni , Crecentius Magori kushoto Makamu Mwenyekiti wa timu ya Yanga Clement Sanga na katikati ni Mwenyekiti wa Azam FC mzee Mohamed Sai. 
Wachezaji wa yanga wakishangilia bao la kuongoza
Picha ya pamoja
ni shangwe mbaya
Said Bahanuzi wa yanga akimtoka beki wa azam Aggrey Moris
Kiiza mzigoni akiatoka mlinzi wa azam Jabir Aziz,ambapo aliwapatia yanga bao la kwanza dakika ya 44 kipindi cha kwanza
ilikuwa mshikemshike

No comments:

Post a Comment