TATOO MPYA YA SEAN KINGSTONE
Age yake ni miaka 22 na jina lake halisi ni Kisean Anderson jamaa mwenye asili ya kijamaica ambaye miaka kadhaa iliyopita alikua katika age ya kuangalia cartoons kama Super Sonic na Super Mario.
Juzi kati “kibonge” huyu ambaye aliwahi kuvuta hewa ya Bongo alivyokuja
kufanya show ya winners for Kilimanjaro Awards, ali-spend kama 2000,000 kwa pesa ya kibongo kuchora tattoo ya super Mario. Super Mario
ni cartoon maarufu sana ambayo pia ipo kwenye comic books na video
games.Ame-spend more than five hours akichora tatoo hiyo, Sean Kingstone
ana tatoo kadhaa so hii itakuwa imeongeza idadi ya tatoo kwenye mwili
wa Sean Kingstone
No comments:
Post a Comment