Tuesday, July 24, 2012

SIMBA YALAMBA 3-1 KUTOKA KWA WALAMBA KONI AZAM FC LEO UWANJA WA TAIFA.



 
 Kikosi cha Azam waliosimama kutoka kulia Ibra Mwaipopo, Joseph Owino, John Bocco, Erasto Nyoni, Rama Chombo na Deo Munishi. Walioinama kutoka kulia ni Aggrey Morris, Hamisi Mcha 'Vialli', brahim Shikanda,


 
 Kikosi cha Simba waliosimama kutoka kulia Juma Kaseja, Mussa Mudde, Amri Kiemba, Lino Masombo, Felix Sunzu na Abdallah Juma. Walioinama kutoka kulia ni Shomary Kapombe, Haruna Shamte, Mwinyi Kazimoto, Juma Nyosso na Kanu Mbivayang
Mchezaji wa azam fc  Khasim Mcha akipimana ubavu na Shomari Kapombe wa simba sport club mapema jioni ya leo

Wachezaji wa simba,Felix Sunzu(aliyeshika mpira) na Haruna Moshi wakijiandaa kuanza mchezo baada ya kufungwa goli la kwanza








Mchezaji wa azam fc Kipre Tchetche akiwazungusha mabeki wa simba mapema jioni la leo ambapo azam walishinda 3-1 
Kipa wa azam fc Deogratius Munisi akiondoa hatari kwenye lango lake mapema leo

No comments:

Post a Comment