Saturday, July 7, 2012

MUME WA MTU SUMU..AMNG'ATA PUA JIRANI YAKE BAADA YA KUGUNDUA ANATEMBEA NA MUME WAKE

Mama wa nyumbani Mrs. Ruka Amoha ambae anadai kuwa mumewe amemnyima unyumba kwa miezi kadhaa sasa, ameamua kutoa hasira zake kwa jirani yake Mrs. Yemi Adelani.
“siwezi kukubali Yemi amfaidi mume wangu na wake pia kwa wakati mmoja nakufanya mi nishindwe kumfaidi mume wangu"amesema ruka mama mwenye watoto watatu.
Tukio hili limetokea Lagos, Nigeria na Dr Oriele Agege amekubali kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa pua ya Yemi imeumizwa sana na anahitaji kufanyiwa  plastic surgery to survive.

No comments:

Post a Comment