Mwanamke mmoja amejifungua mtoto mwenye vichwa viwili katika hospitali teule ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara.
Mganga Mkuu wa hospitali ya DDH Bunda, Dk. Willam Krekamoo, amemtaja mwanamke huyo kuwa ni Sarah Abenenego (16), mkazi wa mtaa wa Chiringe, mjini Bunda, lakini alifariki baada ya mda mpupi.

No comments:
Post a Comment