Hizi
picha zimepigwa wakati J.lo akiwa na mpenzi wake Casper Smart ambae pia
ni Dancer wake, hapa walikua wametoka shopping The Grove in Los Angeles
Marekani.
Hili ndio gari J.Lo alilomnunulia mpenzi huyo mpya siku kadhaa tu baada ya kuachana na mumewe Marc Anthony
No comments:
Post a Comment