Wednesday, May 9, 2012

KANYE v/s KIM KARDASHIAN SO HOT..

Kim Kardashian lazima atakuwa amemchanganya West wild.
rapper amemamua kuonyesha ni jinsi gani anampenda mwanashorty kwa kumuazima gari lake aina ya Mercedes SLR McLaren yenye thamani yua $500,000
rapper wa Gold Digger 34, anaeishi New York, huwa analipaki gari hilo kwenye jumba lake lililopo Los Angeles na ameshawahi kuonekana akijidai nalo na x girlfriend wake Amber Rose mwaka uliopita last year.

uhusiano wa wawili hao ambao walikuwa ni marafiki kwa miaka mingi kabla hawajaanza mahusiano haya unaonekana kwenda fasta kiasi ya kwamba inasemekana wameshaanza kuongea kuhusu ndoa

Kanye was alionekana akiendesha gari hilo huko Hollywood na ex girlfriend Amber Rose mwezi wa tatu

No comments:

Post a Comment