Uwanja
mzima ulisimama kwa dakika mbili kabla kabla ya mchezo kuomboleza
mashabiki waliofariki katika uwanja mmoja wa soka nchini Misri.
Mshambuliaji wa Yanga, Kenneth Asamoah, akijishika baada ya kubabuliwa na mpira.
Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza, akiwatoka Waarabu.
Mashabiki wa Simba wakiishangilia Zamalek.
Hamis Kiiza akishangilia baada ya bao.
Shabiki wa Simba akivuja damu baada ya kupigwa kichwa cha mdomo aliposhangilia goli la Zamalek.
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga jana
walimenyana na mabingwa wa Misri, Zamalek, Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam ambapo matokeo yalikuwa bao 1-1. Pichani juu ni sehemu ya
mtanange huo.
No comments:
Post a Comment