WHITNEY HOUSTON AFARIKI DUNIA
Whitney Elizabeth Houston ,msanii mkongwe wa kimarekani aliyekuwa anaimba aina ya nyimbo za pop ,R&B na soul aaga dunia February 11, 2012.Mwili
wa msanii huyo ulikutwa katika hoteli ya Beverly Hilton Hotel majira ya
3:55pm (muda wa kimarekani).Mpaka sasa haijagundulika sababu ya kifo
cha msanii huyo mkongwe ila uchunguzi bado unaendelea.
No comments:
Post a Comment