Tuesday, February 14, 2012

  KANYE WEST ASEPA NA TUZO YA GRAMMY "BEST RAP ALBUM"

 
Kanye West ameondoka na ushindi mkubwa katika upande wa hiphop, jana katika tuzo za 54 za Grammy. kanye alienda home na tuzo ya Rap Album Of The Year kwa My Beautiful Dark Twisted Fantasy album.
Kanye pia ameondoka tuzo ya Best Rap Collaboration kwa “All Of The Lights” akiwa na Rihanna, Fergie, Elly Jackson and Elton John.
collaboration yake pia  “Otis” na Jay-Z and Otis Redding pia imechukua Best Rap Performance.
Jay Z na kanye kwa pamoja licha ya kutoa bonge moja la album "Watch the throne" wameskip the Grammy awards.
washindi wengine ni pamoja na Chris Brown, ambae ameshinda tuzo ya best R&B album kwa F*A*M*E na Cee Lo Green, ambae alishinda Traditional R&B Vocal Performance na Best R&B Song kwa “Fool For You” na Hallim & Jack Splash.
Adele pia ameondoka nyumbani na tuzo 7 za grammy kwa album yake inayoitwa album 21 na hit single “Rolling In The Deep,”

No comments:

Post a Comment