Tuesday, February 21, 2012

habari mvunjiko....mahasimu wapatana



Hatimaye ugomvi wa Ruge Mutahaba na Mbunge wa jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) umekwisha baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, John Nchimbi na Mbunge Tundu Lisu.

No comments:

Post a Comment