CHRISTINA MILLIAN NDANI YA YOUNG MONEY CASH MONEY BROTHERS (YMCYMB)
Lil Wayne na Birdman wananyakua tu wasanii kushoto na kulia
ikiwa ni miezi kadhaa tangu YMCMB kuwa
sign Busta Rhymes na Mystikal, inaonekana wameamua kumuongeza Christina
Milian katika familia hiyo ambayo pia inawajumuisha Bow Wow, Drake,
Nicki Minaj and Tyga.
lil wayne
alitoa kauli isiyokua rasmi wikendi iliyopita walipokuwa katika YMCMB’s
pre-Grammy party, Paramount Studios, Hollywood.
“niko
na mtoto mzuri Ms. Christina Milian usiku huu. piga kelele kwa ajili
Ms. Christina Milian.Young Money Christina Milian!” ameskika akisema Lil
wayne
Christina Milian pia amethibitisha kupitia kwenye twitter na kauli hii
“Jibu ni..... Ndio. twende kufanya kazi, Nawapenda sana. wakati ndio huu, hakuna mwingine"
pini lake la kwanza kuliachia kutoka YMCMB ameliachia, linaitwa “Mr. Valentine,”
No comments:
Post a Comment