Mtakatifu Tom akiwapa 'sumu' vijana
Wanaume wanaingia uwanjani
Mishemishe za mabao lango mwa Waw Salaam
Bahanuzi (hayupo pichani) ametupia
Bahanuzi akiwa chini baada ya kuumizwa na kipaKhamis Leon kulia, huku refa Issa Kagabo akimuangalia
Bahanuzi ametupia kiulaini huyo kwenye lango
Bahanuzi akishangilia bao lake la kwanza na Kiiza nyuma
Oliver Paul Kangi wa Waw akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima, Stefano Mwasyika na Athumani Iddi
Bahanuzi akishangilia la pili
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Bahanuzi
Refa akiwarudisha Yanga baada ya bao la sita
Mwasyika anatia krosi
Kikosi kilichoanza Yanga, kutoka kulia waliosimama Nadir Cannavaro, Kelvin Yondan, Yaw Berko, Said Bahanuzi, Athumani Iddi na Oscar Joshua. Waliochuchumamaa kutoka kulia Hamisi Kiiza, haruna Niyonzima, Godfrey Taita, Stefano Mwasyika na Nizar Khalfan.
Yanga wakisherehekea karamu ya mabao
Kikosi cha Waw Salaam kilichoanza
No comments:
Post a Comment